Wasira: Martha anajua serikali haiwezi kuingilia mahakama
By
Maulid Mmbaga
,
Nipashe
Published at 10:05 PM Apr 25 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema mwanasheria wa Kenya Marthe Karua anajua mgawanyiko wa mamlaka na mahakama ndio yenyemamlaka ya kusema Tundu Lissu anakosa au hana.