Mbunge wa Viti maalum, Ester Matiko amesema kutokana na kuwapo na utitiri wa michango kwenye shule mbalimbali na kutaka serikali ipeleke waraka ili kudhibiti michango isiyo ya lazima.
Aidha, ameshauri ufanyike utafiti wa kina ili kujua mahitaji na upungufu wa madawati uliopo kutokana na baadhi ya shule wanafunzi bado wanakaa chini.
Matiko ameyasema hayo bungeni leo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa Mwaka 2025/26.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED