Part 1: Jinsi mwalimu wa hisabati alivyotengeneza 'A' 100 Sekondari Kimara

By Halfani Chusi , Nipashe
Published at 12:53 PM Sep 01 2025
Part 1: Jinsi mwalimu wa hisabati alivyotengeneza 'A' 100 Sekondari Kimara

Mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Sekondari Kimara, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Bernard Mwakajira, amevutia mjadala mitandaoni baada ya kufanikisha wanafunzi 100 wa kidato cha pili kupata alama A katika somo la hisabati.