Samia: Sijutii kutukanwa kwa kutumikia wananchi

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 04:52 PM Oct 21 2025
Samia: Sijutii kutukanwa kwa kutumikia wananchi

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan amesema hapati uchungu wala hajutii kutolewa maneno machafu na matusi kwa sababu ya kuwatumikia Watanzania.